JARIBU | 1 Petro 5:8-9
- Mada: Majaribu
"Mwe na kiasi, kesheni; kwa maana adui yenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze; mpingeni, mkiwa thabiti katika imani, mkijua ya kuwa mateso yale yale yanawapata ndugu zenu walioko duniani."
1 Petro 5:8-9
Kaa macho na uwe na akili timamu kwa sababu shetani anataka kukuangamiza. Kwanza, mtii Mungu. Kisha mpinge shetani kwa nguvu za kiroho kwa sababu uko katika vita vya kiroho. Kwa hivyo pigana na silaha ya kiroho ya kujazwa na Roho Wake Mtakatifu ili kushinda vita!
Tafakari ya Leo